Header

‘Mdogo wake Vanessa (Mars) anaimba kuliko Vanesaa Mdee mwenyewe’ – Jux

Ikiwa ni siku chache toka Vanessa Mdee aitangaze rasmi label yake ya ‘Mdee Music’ leo msanii wa kwanza wa label hiyo anaeitwa Mimi Mars ametoa rasmi wimbo wake wa kwanza unaoitwa Shuga ambapo wakati anaenda kutambulisha aliongozana na shemeji yake Jux.

Kwenye mahojiano yake na XXL ya Clouds FM,Jux amesema amesema kuwa Mars ambaye ni mdogo wake Vanessa anaimba kuliko Vanessa na akasema hata Vanessa mwenyewe pia anajua hilo,katika kuongezea Jux amesema kutokana na kukua kimuziki sasa hivi amepandisha dau la show zake na kufikia Milion 10 kwa show moja.

Umeisikia sauti inayosemekana ni ya Mama Wema akiongea na Steve Nyerere?Bonyeza play kusikiliza

Comments

comments

You may also like ...