Header

VIDEO: Diamond Platnumz,Mohombi,Franko na Lumino wazungumzia Video ya wimbo wa ‘Rockonolo Remix’ inayotoka leo

Video ya wimbo wa Rockonolo Remix wa Lumino (DRC) akiwa amewashirikisha Diamond Platnumz (Tz),Mohombi (DRC) na Franko kutoka Cameroon video inatoka Leo,Wimbo huo ambao ulitumika kama wimbo rasmi wa michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2017 yaliyofanyika nchini Gabon umetabiriwa kufanya vizuri sana Barani Afrika.

Wasikilize Diamond Platnumz,Lumino, Mohombi na Franko wakizungumzia ujio wa Kichupa hicho.

Kaa na sisi kwenye mitandao yetu ya kijamii kujua Ratiba ya kutoka kwa kichupa hicho kwani tutakujuza kadri muda unavyokwenda.

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...