Header

Imevuja Sauti inayosemekana ni ya Mama Wema na Steve Nyerere,isikilize hapa..

Kwenye ulimwengu huru wa mitandao ya kijamii kuna vitu ambavyo inabidi uwe navyo makini kama mtumiaji hasa kwenye maongezi ambayo unayazungumza huenda kwa mtu unayemuamini au hata usiemuamini,Steve Nyerere na Mama Wema Sepetu wanaingia kwenye headlines baada ya sauti zinazosemekana ni zao kuvuja kwenye mitandao.

Maongezi hayo ambayo wameyaongea zaidi ya nusu saa yaliwagusa wengi akiwemo Mkuu wa Mkoa Dar es salaam,Paul Makonda baadhi ya Mawaziri wa Tanzania na Wabunge pia,miongoni mwa yale yanayozungumzwa ni pamoja na kuwa Makonda aliwahi kumtaka kimapenzi Wema sepetu.

Bonyeza play kusikiliza sauti hiyo hapo chini.

 

Comments

comments

You may also like ...