Header

VIDEO: Nedy Music ataja nyimbo Tano za Bongo anazozisikiliza muda mwingi,aelezea pia Kolabo na ugumu wa kushoot video Afrika Kusini

Msanii kutoka PKP Nedy Music ni moja kati ya Wasanii ambao wamefanya vizuri sana Mwaka jana na hit yake ya Usiende mbali akiwa na Boss wake Ommy Dimpoz kabla ya kuachia wimbo mwingine na Christian Bella mwishoni mwa mwaka jana.

Wiki hii mkali huyo amepitia DizzimOnline na moja kati ya vitu alivyozungumza kwenye Interview yake ni Ugumu wa kupata Location kati ya Bongo na Afrika kusini na Kataja pia nyimbo zake Tano anazozikubali hapa Bongo.Msikilize hapa chini

Comments

comments

You may also like ...