Header

FULLVIDEO: Steve Nyerere akiri kuwa Sauti inayosambaa mitandaoni ni ya kwake,Adai mazungumzo yote yalikuwa ni mzaha tu kumfariji Mama Wema

Baada ya Siku nne mfululizo kusambaa kwa Sauti iliyorekodiwa ya Mazungumzo ya watu wawili kwenye mitandao ya kijamii Leo Mchekeshaji mkongwe hapa Tanzania Steve Nyerere amekiri wazi kuwa sauti inayosambaa mitandaoni ni ya kwake na Mama Wema Sepetu.

Akiongea mbele ya waandishi wa Habari Steve Nyerere amesema sauti ni ya kwake lakini aliyoyazungumza mle ndani yote yalikuwa ni ya mzaha tu ili kumfariji Mama Wema ambae alikuwa anamlaumu kwa kutokufika mahakamani baada ya mtoto wake ‘Wema Sepetu’ kushtakiwa kwa kosa la kutumia madawa ya Kulevya.Tazama Video yote hapa chini Steve Nyerere akifunguka A to Z

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...