Header

Remy Ma amdiss Nicki Minaj kwenye ngoma mpya ‘Shether’

Nicki Minaj amechokoza nyuki. Baada ya kumchana Remy Ma kwenye Make Love wa Gucci Mane, Nicki Minaj amerushiwa kombora zito zaidi kutoka kwa rapper huyo wa Terror Squad. Remy ameachia diss track iitwayo ShEther ambayo amemchana Minaj mwanzo mwisho.

Kwenye beat ya wimbo Ether wa Nas, Remy anasikika akichana:

You stole that line about bitches being your sons/How you take my ’09 jail tweet and run/Talkin’ ‘bout bringing knives to a fight with guns/When the only shot you ever took was in your buns

Kwenye Make Love, Nicki anasema: You see, silly rabbit, to be the queen of rap/You gotta sell records, you gotta get plaques.”

Nicki anategemewa kuijibu diss hiyo kutokana na kutukanwa matusi mengi.

Comments

comments

You may also like ...