Header

Diamond Platnumz alipa kodi ya TRA mpaka miaka michache ijayo.

Siku chache zilizopita miongoni mwa picha zilizosambaa na kuleta mijadala ya hapa na pale ni pamoja na ile picha ya Diamond aliyopiga akiwa makao makuu ya Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ambako aliitwa kwa ajili ya kujua anaingiza vipi kipato chake na kipato cha Serikali.

DizzimOnline imempata miongoni mwa mameneja wa Diamond Platnumz na WCB,Babu tale ambaye amesema>>Walituita kujua Diamond anaingiza nini na kama serikali wanaingiza nini,Hawakujua pia kama tulilipa kodi wakasema ile tumelipa kama WCB bado Diamond na wakatuelimisha faida ya kulipa kodi mtu kama mtu na kampuni kama kampuni’

‘Still tumelipa mpaka na sisi tunadai pesa kutoka TRA kwa hiyo miaka inayokuja hatutolipa kwa sababu tayari tumelipa kama advance ambayo iko zaidi’  – Babu Tale.

Mtazame Steve Nyerere alipokua mbele ya Waandishi wa habari akitolea ufafanuzi sauti iliyosambaa kwenye mitandao akizungumza na Mama Wema Sepetu.

Comments

comments

You may also like ...