Header

RIO FERDY Ampa Shavu Binamu Yake KING KAKA

Aliyekuwa mchezaji wa club ya Uingereza Manchester United, Rio Ferdinand ukipenda Ferdy 5 ambaye sasa hivi ni mchanganuzi wa soka, ametupia video kwa mtandao wake wa Twitter akionekana akisikiliza album mpya ya Msanii wa Uingereza STORMZY, ambaye inadaiwa ni binamu yake Msanii wa humu nchini KING KAKA.

STORMZY jina lake halisi MICHAEL OMARI ni rapper wa uingereza ambaye alishinda tuzo ya Best Grime Act 2014, 2015 katika tuzo za MOBO Awards. Msanii huyo ni maarufu na wakati mwingi sana huwa ana hang out na wachezaji wa soccer wa EPL kama vile PAUL POGBA, BENTEKE, LUKAKU miongoni mwa wengine kibao. Sasa Hivi inadaiwa msanii huyo anatoka kimapenzi na mtangazaji maarufu wa radio MAYA JAMA.

Comments

comments

You may also like ...