Header

VIDEO: Hivi ndivyo Abdu Kiba,Abby Skillz,HarmoRapa na wadau kibao walivyompokea Ali Kiba ‘Airport’ jijini Dar es salaam

Mshindi wa Tuzo ya MTV EMA Best African Act 2016 Ali Kiba amewasili leo jijini Dar es Salaam na kupokelewa na umati wa watu kibao wengi wao wakiwa ni mashabiki wake na baadhi ya Wasanii kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu J.Nyerere jijini Dar Es Salaam.

Tazama video hapa chini.

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...