Header

March 2017March 31, 2017

Joh Makini adata kwa Rosa Ree

Rapa na mwanakikundi na kampuni ya WEUSI Joh Makini mbali na kutajwa kuwa miongoni mwa wasanii wanaofanya vizuri katika muziki wa bongo fleva amemtaja rapa wake wa kike anayemkubali kwasasa. Hitmaker huyo wa ngoma ya WAYA amemtaja Rosa Ree kuwa ... Read More »

March 31, 2017 0

March 31, 2017

Alhaji Mzee Yusuf amuota Diamond Platnumz

Msanii nguli aliyestaafu muziki wa Taarabu Mzee Yusuf huwezi kumtupa nje ya mitandao yakijamii ingawaje ametangaza kuachana na muziki wa kidunia na kuamua kumtumikia Allah lakini bado humkosi mitandaoni. Leo mapema alivamia kwenye ukurasa wa Instagram Diamond Platnumz na kuacha ... Read More »

March 31, 2017 0
March 31, 2017

Nuh Mziwanda ‘awazodoa’ mashabiki wake

Msanii wa wa bongo fleva anayetamba na ngoma ya anameremeta, Nuh Mziwanda amewataka mashabiki zake kutompangia jina la mtoto wake na kusisitiza yeye kama baba ndiye mwenye mamlaka hayo. Kupitia kipindi cha eNewz ya EATV,  Nuh amefunguka kwamba hawezi kumuita binti ... Read More »

March 31, 2017 0


March 31, 2017

Michepuko yamponza Jose Chameleone

Staa wa ngoma ya ‘wale wale’ Joseph Mayanja a.k.a Jose Chameleone amemjia juu promota wa muziki kwa kusambaza maneno yanayoweza kumvunjia mahusiano yake na mkewe. Taarifa awali zilizosambaa mitandaoni nchini Uganda zinadai kuwa promota Sipapa amehusika kusambaza taarifa hizo kwa ... Read More »

March 31, 2017 0