Header

Baraka The Prince atoa sababu za kutokuhudhuria kwenye Mapokezi/Hafla ya Ali Kiba jana

Jana Ali Kiba alipokelewa na Wasanii mbalimbali pamoja na Mashabiki wake kibao uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwl-JK Nyerere jijini Dar es salaa akitokea Afrika Kusini ambako alienda kwa ajili ya Ziara yake ya Muziki pamoja na kukabidhiwa Tuzo ya MTV EMA Best African Act.

Orodha ya Wasanii waliokuwepo kwenye Mapokezi na wale waliohudhuria kwenye Hafla ndogo iliyo fanyika Jana Usiku Msanii ambae yupo karibu sana na Ali Kiba ‘Baraka The Prince’ hakuonekana kabisa kitu ambacho mitandaoni kimeleta maswali Mengi,ikabidi DizzimOnline imvutie waya kuzungumzia sababu zilizomfanya asihudhurie kabisa kwenye Hafla hiyo.

Msikilize hapa chini akielezea sababu zilizomkwamisha hadi kukosa Hafla hiyo

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...