Header

BreakingNews: Wizkid asaini mkataba na Sony Music Global

Ilikuwa ni tetesi lakini sio tetesi tena kwani Msanii mkubwa kutoka Nigeria Wizkid ameingia kwenye familia kubwa ya Lebo ya Muziki ya Sony Music na kuungana na Hasimu wake mkubwa Davido.

Kupitia ukurasa wa Twitter wa RCA Records iliyochini ya Sony Music wamethibitisha taarifa hizo kwa kutweet “Welcome to the family, !”

Kwa kupigilia msumali dili hilo taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa kwenye mtandao wa Billboard imesomeka

Nigerian singer/songwriter WizKid has found a new home. As previously heard on Drake‘s Hot 100-topping hit “One Dance” (which he co-wrote and co-produced), the Afrobeats star has signed a multi-album worldwide deal with RCA Records/Sony Music International.

“It’s hard for me to describe what I do, since I work with rhythms from Afro-Beat, reggae, hip-hop, dance hall and others,” WizKid told Billboard in a statement. “What’s important to me is for music to be real, authentic, raw and timeless. I don’t wanna be boxed in to any one genre.

 

Comments

comments

You may also like ...