Header

DK Kwenye Beat Amtambulisha Rasmi Mpenzi Wake, Huyu Hapa [PICHA]

Wasanii wa gospel wamekuwa wakigonga vichwa vya habari hivi karibuni hasa kuhusu issue ya ‘prayer partners’. Msanii DK KWENYE BEAT ambaye hivi majuzi ameachia ujio wake mpya akiwa ameshirikiana na MASTERPIECE, hapo jana kupitia mtandao wake wa instagram alitupia picha ya mrembo fulani akiambatinisha na ujumbe mzito wa kumtaki heri na fanaka katika siku yake ya kuzaliwa

“I look at you on this birthday, and it is hard to believe another year has passed. Through the years, you have given me the gift of your heart. Please know you have my heart and all that I can possibly give. You are as beautiful now as ever before, perhaps even more so!I am such a lucky man to celebrate your birthday with you. I love you now and always. HAPPY BIRTHDAY” aliandika DK.

Comments

comments

You may also like ...