Header

Nicki Minaj awaponda Fat Joe na Remy Ma kwenye mauzo ya Album yao ‘Plata O Plomo’

Nicki Minaj ameonyesha dharau na kejeli na kuwaponda Fat Joe na Remy Ma kupitia post yake Snap chat iliyoonyesha mauzo mabaya na rekodi ya chini kwenye chati za billboard iliyoshikiliwa na album mpya ya ‘Plata O Plomo’.

Post hio imekuja siku chache baada ya kutoka kwa diss kali ya Remy Ma iliyopewa jina “SHETHER”

Nicki kapost maelezo ya Album ya ‘Plato O Plomo’ kuuza kopi 11158 kwenye wiki ya kwanza na kushika namba #44 kwenye billboard ata baada ya ‘All The Way Up,’ kuwa Platinum   [Post ilimaliziwa na Emoji ya kukerwa, dharau na kupotezea tu]

Hii yote ni kunogesha utamu wa Bifu yake na Remy Ma ambayo mpaka sasa hivi watu wanasubiri kwa hamu majibu ya Nicki Minaj.

Comments

comments

You may also like ...