Header

Christian Bella – ‘Ollah imeniongezea umaarufu nchini Kenya’

The King of Best Melodies wa Bongo Fleva Christian Bella amesema wimbo wake wa ‘Ollah’ aliomshirikisha Khaligraph Jones kutoka Kenya umemuongezea umaarufu maradufu nchini Kenya.

Akizungumza na DizzimOnline amesema wimbo huo umemfanya ajulikane karibia kila mahali nchini humo ingawaje nyimbo nyingine za awali zilimpatia umaarufu ila huu umemuongezea umaarufu zaidi.Tazama video hapa chini akizungumzia ishu zake kibao za muziki

 

Comments

comments

You may also like ...