Header

N’golo Kante akwara tuzo ya London Football Awards 2016-2017

Jana usiku kiungo mkabaji  wa klabu ya Chelsea ameshinda Tuzo ya London Football Awards ya mchezaji bora wa jiji la London kwa msimu wa mwaka 2016-2017.

Related image

N’golo Kante

Tuzo za LFA hutolewa kila mwaka kwa wachezaji wa timu zote za mpira wa miguu kutoka London,N’golo ameshinda tuzo mbele ya Diego Costa,Dele Alli,Danny Rose na Alexis Sanchez kutoka Arsenal.

Kwa upande mwingine Dele Alli ameibuka mshindi wa Tuzo ya mchezaji kinda wa mwaka katika tuzo hizo za soka kunako jiji la London,nchini Uingereza.

 

Comments

comments

You may also like ...