Header

Rapper Foxy Brown ajifungua mtoto wa kike

Rapper wa Marekani, Foxy Brown amejaaliwa kupata mtoto wa kike hivi karibuni.
Taarifa hiyo ilitolewa na mtangazaji wa TV, Wendy Williams kwenye talk show yake.

“Literally, as I’m putting on my bracelet, the telephone rings,” Wendy aliwaambia watazamaji wa show yake. “Congratulations to Foxy Brown. She had a baby girl.”

Bado haijulikani baba wa mtoto huyo.

Hata hivyo Wendy alitoa clue, “Allegedly it’s a reggae star and I’m not going to say his name because I think that me and Foxy have some sort of relationship and the bureau does have a working telephone. So, maybe she’ll call us.”

Rapper huyo wa Brooklyn amekuwa kimya kwa muda mrefu na wengi walikuwa hawajui kama alikuwa mjamzito.

Comments

comments

You may also like ...