Header

Mbereko yaibeba Simba yapata sare ya 2-2 dhidi ya Mbeya City

Kwa penati ya utata ya Dk 86 waliyopata Simba dhidi ya Mbeya City imeisaidia Klabu hiyo kupata Sare ya Goli 2-2 na kuifanya Klabu hiyo kusalia kileleni kwa Pointi 53 wakiwa mbele ya Yanga yenye pointi 50,huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi.

Magoli ya Simba yamefungwa na Ibrahim Ajib na Shiza Kichuya na magoli ya Mbeya City Renny Ally na Deo Nchimbi.

Comments

comments

You may also like ...