Header

Mrembo Faiza Ally kurudiana na Ex-wake SUGU (+Video)

Muigizaji maarufu kunako Tasnia ya Bongo Movie Faiza Ally ameahidi kuachia movie yake mpya ya ‘Baby Mama Drama’ ambayo itakuwa na historia ya maisha yake Binafsi tangia utotoni.

Akiongea na DizzimOnline Faiza Ally amesema kwenye Movie hiyo ataonekana na kila mtu ambae amechangia kumfikisha hapa alipo hivyo usishangae kumuona akiwa na mzazi mwenzake Mr Two kwenye Filamu hiyo kwani ni mtu ambae amemsaidia mrembo huyo kwa namna moja ama nyingine hivyo tarajia kuona surprise kibao kutoka kwenye Movie hiyo.Tazama hapa chini mahojiano yake akiongelea Movie hiyo inayotarajiwa kutoka hivi karibuni

Comments

comments

You may also like ...