Header

Tazama picha 10 za Ben Pol,Jux na Baraka The Prince walivyowapagawisha wakazi wa Dodoma kwa Burudani

Jana usiku Ben Pol,Jux na Baraka The Prince walikuwa mkoani Dodoma kwenye usiku wa 333 Experience na hapa tumekuletea picha 10 wakiwa jukwaani na za mashabiki wao jinsi walivyojumuika nao.

Baraka The Prince akiimba wimbo wake wa Nisamehe

 

Jux nae alipanda na Warembo jukwaani

Ben Pol akiwa jukwaani akiimba Moyo Mashine

Mashabiki na Wadau wa muziki wakifuatilia show mubashara

Comments

comments

You may also like ...