Header

KHALIGRAPH Na RAYVANNY Kuachia Collabo Yao Hivi Karibuni

Mwaka uliopita tuliandika story kuhusu msanii wa hip hop humu nchini KHALIGRAPH JONES kumzimia msanii wa bongo flava anayetokea label ya Wasafi, RAYVANNY. Habari njema sasa kwa mashabiki ni kuwa wawili hao wameshafanya kwa pamoja na hivi karibuni utapita kusikiliza, akizungumza nasi, KHALIGRAPH JONES amefunguka kuwa tayari ngoma imeshakamilika na watakuwa wanashoot video yao wimbo huo hivi karibuni, mbali na hapo RAYVANNY na KHALIGRAPH watakuwa wanakinukisha siku ya alhamisi ndani ya B-CLUB Nairobi.

Comments

comments

You may also like ...