Header

Shilole – ‘Baba Levo namuona kama Queen Darleen’

Msanii wa kike wa Bongo Fleva nchini Tanzania Shilole ameweka wazi ukweli wa mahusiano yake na Baba Levo kwa kuwambia mashabiki wake wachukulie poa kwani anamchukulia kama msela wake tu.

Akizungumza na DizzimOnline Shilole amesema kwa sasa yupo single lakini haimaanishi kuwa kila rafiki yake wa kiume atakaeongozana  nae basi atakuwa ni mpenzi wake.Msikilize hapa Shilole alivyomzungumzia Baba Levo na Biashara yake ya Mama N’tilie

Comments

comments

You may also like ...