Header

Breaking News: Vanessa Mdee akamatwa na Jeshi la Polisi

Msanii wa kike nchini Vanessa Mdee inasemekana amekamatwa jioni hii na jeshi la Polisi jijini Dar es salaam,Taarifa kutoka kwenye vyanzo vyetu nyeti vya habari bado havijatoa taarifa ya sababu ya kukamatwa kwake ila tupo njiani kukupatia taarifa zaidi kadri muda unavyozidi kwenda.

Baki na sisi karibu kwenye mitandao yetu ya kijamii kwa jina la DizzimOnline tukujuze kila tukio linalojiri.

Comments

comments

You may also like ...