Header

UEFAChampionsLeague: Arsenal yaangukia pua,Real Madrid,Bayern Munich mwendo mdundo Robo Fainali

Klabu ya Real Madrid kutoka Uhispania na Bayern Munich ya Ujerumani zimekuwa klabu za kwanza kufuzu hatua ya Robo fainali ya michuano ya Klabu bingwa barani ulaya msimu huu.

Bayern Munich imefuzu kwa jumla ya Mabao 10-2 dhidi ya Arsenal kwa Mechi zote mbili huku Madrid wakifuzu kwa jumla ya mabao 6-2 dhidi ya Napoli .


Arsenal imepata goli la kufutia machozi  kupitia  kwa Theo Walcot huku goli la Napoli la kuwafariji limefungwa na Mertens.

Michezo ya kesho ni kati ya Barcelona na PSG na Dortmund vs Benfica ya Ureno

Comments

comments

You may also like ...