Header

G-Nako aelezea jinsi alivyomkamata mwizi wa wimbo wake ‘Go Low’ mtandaoni (+Video)

Wiki iliyopita Rapa G-Nako alitangaza kumnasa haramia mmoja mwizi wa kazi za Wasanii kibao hapa Bongo kwenye mtandao wa Youtube na kuahidi kumchukulia hatua za Kisheria kwani kitendo hicho kinapunguza mapato ya Serikali na ya kwake kama msanii.

Sasa DizzimOnline imemtafuta G-Nako na kupiga nae stori kuelezea sakata hilo hadi kumkamata mwizi huyo kwani ni kitendo cha ujasiri sana kutokana na ulegevu wa sheria za hati Miliki nchini.Tazama Interview yake hapa chini akizungumzia ishu nzima ilivyokuwa

 

Comments

comments

You may also like ...