Header

Faiza Ally -‘Soko la filamu limekufa na watu wale wale’

Muigizaji wa kike nchini Tanzania Faiza Ally ni moja ya wasanii wa Filamu ambao wamekumbwa na tatizo la kuyumba kwa soko hilo ndani ya miaka sita mpaka sasa.

Faiza Ally akiongea na DizzimOnline amesema hata kitendo cha yeye kuchelewa kutoa Movie yake mpya ya ‘Baby Mama Drama’ imetokana na kushuka kwa mauzo kwenye soko la Filamu kazungumzia pia ujio wa Waigizaji wapya na mahusiano yake na Sugu,Msikilize hapa chini

Comments

comments

You may also like ...