Header

Remy Ma: Sijutii, ila sijivunii kumdiss Nicki Minaj

Baada ya kuachia diss track mbili kwa Nicki Minaj, “shETHER” na “Another One,” Remy Ma amedai kuwa hajivunii kufanya hivyo. Amedai kuwa diss hizo zina matokeo hasi.

Anasema licha ya kutojutia kuzitoa, anashangaa kuona jinsi watu wanavyoshangilia wakiona wanawake wakiraruana. “I don’t regret it, but I’m not particularly proud of it,” alisema kwenye mahojiano ya hivi karibuni. “I just think it’s crazy the way people celebrate women attacking each other as opposed to working together. As women, sometimes, we don’t see the value in us working together.”

Remy amedai kuwa anatamani iwapo kungekuwa na wimbo wa ushirikiano kati yao.

“It just bothers me that, this record [‘shETHER’] that I put out, where it’s literally picking apart a female, went so viral. We could have done the same thing working together. I would have liked it so much better that way.”

Alipoulizwa kwanini bifu ilianza na kama waliwahi kuwa na uwezekano wa kufanya kazi pamoja, Remy alisema yeye si mtu wa kulaumiwa. “It wasn’t me. You can’t force somebody to do something they don’t want to do. You know? Sometimes, I don’t know. I don’t really know. We’ve never had that conversation. Maybe one day, we’ll sit down and have that conversation. ‘Why didn’t we work together? What was the problem? Did you feel any type of way?’ I don’t know. I personally feel like it would have been so much cooler if … we came together and did something crazy.”

Comments

comments

You may also like ...