Header

Shilole atangaza nafasi za kazi

Msanii wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole hana shaka yoyote na maisha yake hususani linapokuja suala la kutengeneza mkwanja kwani kwa sasa na usawa huu yeye anatafuta watu wa kuwaajiri hii yote ili kuendelea kuimarisha biashara zake kiutendaji.

Akiongea na DizzimOnline Shilole ametoa Exclusive kuwa kwa sasa Mgahawa wake ambao ameufungua mwishoni mwa mwaka jana unahitaji wahudumu ili shughuli za kiutendaji ziimarike zaidi.Je,unajua anahitaji wafanyakazi wangapi?na vigezo gani anavyovihitaji?msikilize hapa chini kisha mkamate uchukue dili

Comments

comments

You may also like ...