Header

UEFAChampionsLeague:Barcelona yaua 6-1 PSG,Yaungana na Borussia Dortmund kufuzu hatua ya Robo fainali

Klabu ya Barcelona imeweka rekodi ambayo haijawahi kuwekwa na Klabu yoyote ile Duniani kwa ushindi wa mabao 6-1 kutoka kwenye 4-0 mchezo wa kwanza.

 Magoli ya Barcelona yamefungwa na Suarez dakika ya 3′,Neymar Magoli mawili Dakika ya 88′ na 90′,Messi dakika ya 60′,Sergi Roberto na moja la kujifunza.

Barcelona inaungana na Klabu ya Borussia Dortmund,Real Madrid na Bayern Munich kusonga mbele kwenye michuano hii hatua ya Robo Fainali.

Dortmund kwenye mchezo wake wa Leo imeshinda Magoli manne kwa nunge dhidi ya Benfica,tukishuhudia Aubameyang akitoka na mpira  wa Hartrick.

Comments

comments

You may also like ...