Header

Pep Guardiola ashinda Tuzo ya kocha bora wa mwezi Februari

Kocha mkuu wa klabu ya Manchester City muhispania Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha bora wa mwezi wa Februari akiwapiga chini makocha wenzake Mauricio Pochettino na Antonio Conte wa Chelsea.

Kocha wa Man City Pep Guardiola

Machester city imeshinda michezo mitatu kwa mwezi wa Februari kati ya Bournemouth,Westham na Swansea.

Tuzo ya mchezaji bora imeenda kwa mshambuliaji wa Klabu ya Tottenham harry Kane na Goli bora la mwezi tuzo imechukuliwa na Eden Hazard kwenye goli alilofunga dhidi ya Arsenal.Tazama Goli la Eden hazard hapa chini

 

Comments

comments

You may also like ...