Header

Yaliyo kwenye moyo wa Barnaba kuhusu Vanessa Mdee,kayaandika haya.

Bado wasanii mbalimbali wameendelea kuonyesha hisia zao waziwazi baada ya kutoka kwa taarifa rasmi ya Jeshi la Polisi kumshikilia Vanessa Mdee ‘Vee Money’ kwa tuhuma za kujihusisha na matumizi pamoja na usambazaji wa dawa za kulevya,Barnaba ‘Claasic’ nae kachukua muda wake kuandika yaliyo kwenye moyo wake.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Barnaba ameandika>>’Tabasamu lako ndo letu mungu Atakuongoza My sister wa ushindi kabisa nakuombea na mungu yuko katika hatua zako $┬áVanessa Mdee’. – Barnaba.

Mtazame Kamanda Simon Sirro wakati akitaja jina la Vanessa Mdee na Rummy kuhusu kujihusisha na Dawa za kulevya.

Comments

comments

You may also like ...