Header

Exclusive: Album ya Navy Kenzo ‘Above Inna Minute’ inapatikana #WasafiDotCom

Mwishoni mwa mwaka Jana Navy Kenzo waliachia album yao ya kwanza waliyoipa jina la Above Inna Minute  na Kwa Habari nzuri ni kwamba sasa unaweza kuipakua kwenye mtandao mpya wa WasafiDotCom kwa bei nafuu kabisa.

Wakithibitisha taarifa hizo siku chache baada ya kujiunga na mtandao huo kwenye ukurasa wao wa Instagram wameandika “Hongera kwakwe @diamondplatnumz kwa kuleta hili na kama wasanii wenzako tutakupa support yetu pia, basi Usiku wa leo ALBAM yetu #NAVYKENZO itakuwa inapatikana Rasmi kweye www.wasafi.com #HuuNdioMudaWaKumuungaMkonoUmpendae”

Diamond Platnumz katikati akiwa na Aika na Nahreel

Album ya AIM Itakuwa album ya kwanza kuuzwa kwenye mtandao huo uliochini ya Diamond Platnumz.

Comments

comments

You may also like ...