Header

Ben Pol na Rayvanny waingia kwenye list hii ya MTV Base

Ben Pol na msanii wa WCB, Raymond aka Rayvanny ni miongoni mwa wasanii waliotajwa kwenye orodha ya kituo cha MTV Base cha wasanii wa kuwaangalia kwa mwaka 2017.

Kituo hicho kimewataja wasanii hao Jumatatu hii. Hii inakuwa mara ya pili kwa Rayvanny kuhusishwa na MTV Base baada ya mwaka jana kutajwa kuwania tuzo za MTV MAMA.

Video mbili za hivi karibuni za Ben Pol, Moyo Mashine na Phone zimempa wigo zaidi wa kuonekana nje licha ya muimbaji huyo kuwa na muda mrefu kwenye muziki.

Comments

comments

You may also like ...