Header

Huyu ndiyo mrembo atakae host shindano la America’s Got Talent mwaka huu (+Picha)

Baada ya mshehereshaji na mchekeshaji Maarufu Duniani Nick Cannon kupigwa chini na kituo cha Runinga cha NBC ambao ndiyo wandaaji wa shindano la America’s Got Talent wametangaza host mpya wa kike atakae rithi mikoba yake.

Kupitia mtandao wa nbc.com wametangaza kuwa Mwanamitindo Tyra Banks ndiye atakae host shindano hilo kubwa kabisa nchini Marekani,hata hivyo akithibitisha taarifa hiyo Tyra kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika “Surprise! TyTy is the new host of AGT nbcagt! Can’t wait 2work w/new fam

Tazama Picha za mrembo huyo Tyra Banks kisha pata picha uhondo wa shindano hilo litakavyokuwa.

Image result for tyra banks

Image result for tyra banks

Image result for tyra banks

Related image

Related image

Comments

comments

You may also like ...