Header

Vyote alivyosema Diamond mpaka Rais Magufuli kupiga simu viko hapa..

Asubuhi ya March 14 Diamond Platnumz alikua ni mgeni kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV,kwenye mahojiano yake amegusia vitu vingi ikiwemo suala la Serikali kusaidia kulinda kazi zao za sanaa,miongoni mwa walioguswa mpaka kupiga simu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais John Pombe Magufuli.

Hizi ni baadhi ya Nukuu kati ya vyote vilivyozungumzwa kwenye mahojiano yake na Clouds TV.

Comments

comments

You may also like ...