Header

Kwenye stori zetu kubwa 5 za leo zimemilikiwa na Diamond Platnumz,Rayvanny,Ben Pol,Belle 9 na Professor Jay kuhusu ujio wake wa ngoma yake mpya (+Video)

Tazama habari zetu kubwa za leo ambazo zimesomwa zaidi kutoka kwenye mtandao wetu ambapo utawasikia mastaa kibao kwenye habari tofauti tofauti likiwemo tukio kubwa la Diamond Platnumz kupigiwa Simu na Rais Magufuli,na utawasikia pia Mastaa wengine kama Rayvanny,Ben Pol,Belle 9 na Professor Jay.Bonyeza Play hapa chini utazame

 

Comments

comments

You may also like ...