Header

Professor Jay aonesha baadhi ya mistari iliyopo kwenye wimbo wake mpya unaotoka Kesho

Kesho rapa mkongwe nchini Tanzania Professor Jay anaachia wimbo wake mpya alioupa jina la ‘KIBABE’ The Icon ambao mdundo umetengenezwa na Mr T Touch  na wakati wadau kibao wa muziki wakisubiria kujua wimbo huo unahusu nini?na amepitaje ni hip hop au ni Commecial?

Majibu yote unaweza kuyapata kwa baadhi ya mistari aliyoshare na wewe kwa kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hebu tafakari kwa mistari hii mkwaju utakuwa ni wa aina gani ?

Nakuchapa Kiuchumi, Nakuchapa kwa Ngumi,
Nakuchapa kwa Heshima, Nakuchapa Kihuni,
Nakuchapa kwa Fanbase, Hii ndio chata ya MIKUMI,
Nakuchapa kwa MICHANO hata Urap kwa KIRUMI…

Acha maoni yako juu ya mkwaju huu mpya

 

Comments

comments

You may also like ...