Header

Baada Ya Kutoka Label Ya Dreamland, OTILE BROWN Ajipanga Upya Kwa Kufanya Hili

Msanii OTILE BROWN kutokea nchini Kenya amegonga vichwa vya habari siku za hivi karibuni, kisa na maana kwasababu ya kutengana na label ya Dreamland Music inayomilikiwa na DR EDDIE, na baadaye kukawa na misukosuko ya hapa na pale. Hata Hivyo mkali huyo wa kuimba sasa hivi anajipanga kuachia ujio wake mpya kwa jina “YULE MBAYA” itakayo dondoka wiki ijaayo siku ya Jumanne. Video ya wimbo huo imeongozwa na X-ANTONIO huku ILHAJI akifanya audio.

Comments

comments

You may also like ...