Header

Haya ndiyo maneno 10 aliyoandika Vanessa Mdee baada ya kutoka rumande

Msanii wa Bongo Fleva Vanessa Mdee amerejea rasmi kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuachiwa huru kwa dhamana juzi na hapa tumepata maneno yake 10 aliyoandika kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wake wa twitter vanessa Mdee ameandika maneno kumi ambayo ameonesha furaha yake kwa sapoti aliyoipata kutoka kwa mashabiki wake.

Comments

comments

You may also like ...