Header

Nadir Haroub ‘Cannavaro’ awatoa hofu mashabiki wa Jangwani

Nahodha wa klabu ya Yanga Nadir Haroub amewataka mashabiki wasikate tamaa kwa matokeo ya mara ya kwanza waliyoyapata dhidi ya Zanaco FC ya Zambia kwenye mchezo wa kwanza wa klabu bingwa Afrika mchezo uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Akiongea na DizzimOnline Cannavaro amesema dhamira yao ya kucheza hatua ya makundi ipo pale pale na tayari wamejipanga kuwatoa Zanaco kwa kila namna.

Tunakwenda Zambia tukiwa tunawajua vizuri Zanaco hiyo ndiyo sababu ya kujiamini kushinda mchezo wetu wa marudiano licha ya kuwa zanaco wana goli la ugenini“Amesema Nadir Haroub Cannavaro.

Comments

comments

You may also like ...