Header

Tazama picha za Red Carpet kwenye uzinduzi wa Movie ya Kiumeni,Usiku huu Mlimani City Jijini Dar es Salaam

Usiku huu Movie ya kiumeni inazinduliwa rasmi pale mlimani City na Timu nzima ya DizzimOnline ipo kwenye tukio hilo na hapa tumekuletea picha za Mastaa na Watu maarufu waluiohudhuria kwenye Sherehe hiyo ya uzinduzi wa Movie ya kiumeni.

Muigizaji wa Bongo Movie Rose Ndauka

Muigizaji mkongwe ‘Mama Abdul’

Muigizaji wa Bongo Movie Gabo

Muimbaji na Muigizaji Emannuel Mbasha

Comments

comments

You may also like ...