Header

Barnaba -‘Bora tuibiwe na Diamond kuliko mtu binafsi’

Wiki iliyopita Diamond Platnumz alitangaza kufungua mtandao wake mpya wa kuuza nyimbo za Wasanii mtandaoni wasafi.com na akasaini baadhi ya Wasanii na mmoja wapo ni Barnaba sasa akapata nafasi ya kuzungumzia ujio wa wasafi Dot kwa kumpongeza Diamond Platnumz.

Barnaba akiongea na DizzimOnline amesema ujio wa Wasafi Dot Com ni hatua nzuri sana kwa wasanii kwani wamekuwa wakiibiwa na mitandao ya watu binafsi ambao hata hawajui uchungu wa kazi za wasanii akaenda mbali na kusema ni heri hata waibiwe na msanii mwenzao (Diamond) kuliko kuibiwa na haya makampuni ya watu binafsi wasio na uchungu na kazi za wasanii,Msikilize hapa chini akizungumzia ishu hiyo na Ujio wa Album yake mpya

Comments

comments

You may also like ...