Header

Uchaguzi umekamilika na huyu ndiye Rais mpya wa CAF.

Muda mfupi uliopita kwenye uchaguzi wa Rais wa shirikiko la soka Africa (CAF) tayari mshindi au Rais mpya wa Shirikisho hilo kashapatikana na alietangazwa kuwa Rais ni Ahmad Ahmad wa Madagascar.

Ahmad Ahmad ametangazwa kuwa Rais mpya wa CAF baada ya kupata kura 34 dhidi ya 20 alizozipata aliyekua Rais wa Shirikiko hilo toka mwaka 1988 ndg Issa Hayatou,huu unakua uchaguzi wa 39 katika Shirikisho hilo.

Comments

comments

You may also like ...