Header

Demi Lovato asherehekea miaka 5 ya bila kupiga mitungi

Demi Lovato amesherehekea mafanikio makubwa katika maisha yake binafsi. Mwanamuziki huyo mrembo ametimiza miaka mitano ya kuwa sober. Demi ametumia Instagram kuonesha furaha yake kwa kuifanikisha safari hiyo ambayo awali haikuwa rahisi.

“So grateful,” ameandika. “It’s been quite the journey. So many ups and downs. So many times I wanted to relapse but sat on my hands and begged God to relieve the obsession. I’m so proud of myself but I couldn’t have done it without my higher power (God), my family, friends, and everyone else who supported me. Feeling humbled and joyful today. Thank you guys for sticking by my side and believing in me.”

Lovato aliwahi kwenda rehab mwaka 2010 kwa miezi mitatu baada ya kukutwa na tatizo la akili, bipolar disorder. Tangu hapo amekuwa mtetezi mzuri wa masuala ya afya ya akili.

Comments

comments

You may also like ...