Header

Niko tayari kufanya kazi na Rayvanny – Willy Paul

Muimbaji wa muziki wa Injili toka nchini Kenya Wilson Abubakar Radido a.k.a Willy Paul ambaye kwasasa yuko nchini Tanzania kwa lengo la media tour na kufanya kazi na baadhi wa wasanii wa Tanzania.

Akizungumza na Dizzim Online amemtaja Rayvanny kuwa baada ya mazungumzo waliyofanya yuko tayari kufanya naye kazi muda wowote.

Willy Paul yuko nchini Tanzania kwa muda ikiwa lengo kuu ni kufanya media tour na kufanikisha baadhi ya makolabo ingawa hakubainisha ni wasanii gani  wapo katika orodha yake ambao ana mpango wa kufanya nao kazi.

“…Rayvanny namkubali sana na tumekuwa tukiongea before acome Kenya…nitaacha watu wajionee…tulizungumzia kuhusu muziki…labda tunaweza kufanya muziki…ikiwezekana mi sina tatizo…like am ready,if he is ready me am ready… Alisema Willy Paul.

Akizungumzia sababu za yeye kutembelea Tanzania kimuziki amesema ShowBiz ya Bongo kuwa juu ni moja ya sababu kubwa za uwepo wake nchini Tanzania kwa sasa.

Comments

comments

You may also like ...