Header

Rayvanny -‘Maisha yangu ni Movie tosha’

Msanii wa Bongo Fleva kutoka WCB Rayvanny amefunguka na kuweka wazi tofauti aliyoiona tangia mwaka mmoja aungane na WCB akitokea Tip Top Connection ambako alipokelewa akitokea Mbeya na kusema kuwa maisha yake ni movie kamili kwa jinsi alivyosota mpaka kufikia hapa alipo.

Akipiga story na Dizzim Online amesema WCB imemjenga kama brand ukilinganisha na mwaka mmoja alivyokuwa Tip Top Connection pia maisha yake ameyalinganisha kama movie tosha,Msikilize hapa chini Rayvanny akizungumza ishu kibao kuhusu safari yake ya muziki

 

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...