Header

Baada ya Rick Ross kum’diss Birdman: Hatimae Birdman amjibu

Bifu linaendelea!!!  baada ya ngoma ya Idols Become Rivals ambayo ni diss track kwa BirdMan kutoka kwa Rick Ross kuwa gumzo kila leo kwenye mitandao ya kijamii, The Stunner ameamua kuingilia kati na kumjibu Rick Ross.

BirdMan ameandamwa sana na Lil Wayne kwa kitendo cha kuchelewesha kutoa Album yake ya ‘The Carter V’ Album ambayo mpaka sasa hajaitoa, japo ameahidi kuiachia mwakani.

BirdMan kwenye mahojiano yake na mtandao wa Billboard alizungumzia Diss Track ya Rick Ross kwenye ngoma ya ‘Idols Become Rivals’, Birdman alisema yeye ni Mwanaume hana muda wa kujibu ujinga huo na atabakia na misimamo yake kama alivyopanga.

I don’t get caught up in hoe shit, man. I just keep doing what I’m doing and keep pushing. I don’t get caught up in that, I don’t play like that. I’m a man and I stand my ground and do my thing. Numbers don’t lie, and that’s all I give a fuck about: numbers, and putting them up” Alisikika akisema Birdman.

Bado kuna baadhi ya wataalamu wa masuala ya Burudani wanasema huenda hii ikawa ni Kiki tu ya promo ya ujio wa Album ya Lil Wayne ‘The Carter V’.

Comments

comments

You may also like ...