Header

Diamond Platnumz alamba dili lingine nono la mamilioni (+Video)

Diamond Platnumz ametoka kusaini endorsement deal nyingine na awamu hii amesaini na kampuni ya GSM ama kweli majani ya mti hayaanguki mbali na shina lake kwani neema inazidi kumdondokea yule aliyenacho.

Kwasasa bado haijajulikana ni kiasi gani Mkali huyo wa hit ya Marry You amechukua kwenye dili hilo ila kwa taarifa za watu wa karibu zinadai kuwa amelamba mamilioni ya pesa,mtazame hapa Diamond Platnumz akizungumzia dili hilo

Comments

comments

You may also like ...