Header

Hii ndiyo list ya video 5 za muziki zilizotazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube kwa wiki hii nchini Tanzania

Kama kawaida yetu kukuhakikishia kuwa haupitwi na tukio lolote la kiburudani na hapa tumekuwekea list ya video tano zilizo’trend zaidi kunako mtandao wa Youtube na kwenye vichupa hivyo yupo msanii mmoja tu kutoka nje ya Tanzania ila wote waliobakia ni wasanii kutoka Bongo.

Tazama hapa chini video hizo zilizo’trend kwenye mtandao wa Youtube

Comments

comments

You may also like ...