Header

New music video : Jay Moe – Nisaidie kushare

Tazama video mpya ya Jay Moe ya wimbo wake wa ‘Nisaidie kushare’ wimbo ambao umetayarishwa na T Touch pale Touchez Sounds Studio ambapo video imeshootiwa mjini Durban na Petermaritzburg nchini Afrika Kusini na muongozaji wa video za muziki ‘Director’ Travellah wa KWETU STUDIOS.

 

Itazame hapa

Comments

comments

You may also like ...